Social Icons

Ijumaa, 3 Januari 2014

UBORA WA ASALI YA TANZANIA NA CHANGAMOTO ZAKE


Aidha, pamoja na kuwepo masharti magumu kuhusu kukidhi viwango vya ubora katika soko la kimataifa hasa katika soko la umoja wa nchi za Ulaya, wafugaji nyuki wameweza kuzalisha mazao yenye ubora unaokubalika na kuuzwa katika masoko hayo.

Changamoto iliyoko mbele yetu ni namna ya kuboresha na kudumisha uzalishaji wa kutosha na wenye viwango vinavyokubalika kimataifa. Aidha, iko changamoto ya kukubali kwamba tunayo asali nzuri nchini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni