Social Icons

Jumapili, 19 Januari 2014

TUMIA ASALI KAMA KINGA NA TIBA MBADALA KATIKA MAISHA YAKO YOTE, WAHI SASA




Katika picha ni muonekano mpya wa Asali toka FANO2010 Products ikiwa ni vifungasho vipya vyenye ubora wa kisasa sambamba na kuwekewa seal ili kuwahakikishia walaji usalama wa afya zao.

USIPATE SHIDA KUJUA BEI ZA FANO2010 Product


1. ASALI YA NYUKI WAKUBWA

ASALI YA 850g INAUZWA TSHs 10,000

ASALI YA 450g INAUZWA TSHs 5,500

2. ASALI YA NYUKI WADOGO

ASALI YA NUSU LT INAUZWA TSHs 16,000

ASALI YA ROBO LT INAUZWA TSHs. 8,000 

BEI ZETU ZA MDALASINI NI KAMA IFUATAVYO

1.MDALASINI 250g INAUZWA TSHs 4,000

2. MDALASINI 50g INAUZWA TSHs 1,000

Unapo nunua kwa wingi unapewa na huduma ya kukufikishia unapohitaji.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa :

P.O.BOX 5003,Dar es Salaam.
Tel:0715/0754 274070,0784 274079
E-Mail:fano2010ltd@gmail.com

WAHI MAPEMA KABLA HAUJAINGIA GHARAMA KUBWA KUREKEBISHA AFYA YAKO TUMIA FANO2010 Product."BORA KUKINGA KULIKO KUTIBU

Maoni 1 :

  1. Hongereni kwa kazi nzuri, fungueni tawi linguine Msasani, au Masaki au Oysterbay kuna watumiaji wengi kule, pia fungueni na Segerea wapo watumiaji pia

    JibuFuta